Thursday, June 20

Keki keki kekiiii

   Tumesonga mbele, na safari hii tumeamua kujikita katika kutumikia wapenda keki. Ni hivi twaweza pokea oda yako, tukaifanyia kazi na kuhakikishia inakufikia ule muda unaotaka, na sehemu uliyopo. Tunaomba kusema kwa sasa, tunaongelea Dar es salaam tu kwanza.
   Kwa kukuonjesha kuna hizi tatu zilizotumika katika shughuli 3 tofauti na zilipendwa na Rafiqs.
  Ya kwanza ilikua ya siku ya komunyio ya bi Joan, ambapo shughuli ilifanyika Beijing restaurant, na keki ilikua na ladha au imetengenezwa na chokoleti.

   Ya pili ilikua  ni ya sikukuu ya kuzaliwa ya bwana Junior, mume mtarajiwa wa Bi Grace, na shughuli ilifanyika pale China wall restaurant.

   Na ya tatu, ilikua ni ile ya harusi ya Bibi na Bwana Ramadhan King'oma iliyofanyika Azura beach.Hii pia ilikua na ladha ya chokoleti, ilikua na ngazi nne na maua yote yalikua fresh
Wasiliana nasi kupitia menutimes@gmail.com au tupigie simu namba 0784 999 790. wajulikana kama Menu Times Investment

No comments:

Post a Comment