Kuna aina nyingi za salad, ambapo hutofautiana katika utengenezaji wake, kutokana na kutumia viungo mbalimbali. Leo tunaangalia salada za aina tatu:
- Ya kwanza ina Maharagwe ya kijani, nyanya na sausage
-
- Ya pili ina matango, nyanya pamoja na sauce iliyonyunyuziwa
- Ya tatu ina mchanganyiko wa kabichi, karoti, vitunguu na mahindi machanga
Uzuri ni kwamba waweza jitengenezea mwenyewe salad hizi ukiwa nyumbani, yaani sio lazima kwenda sehemu flani kuagizia. Na waweza weka sauce ya aina yeyote kutokana na mapenzi na mahitaji yako.
No comments:
Post a Comment