Mchana tulikutana na timu imeagiza chakula toka mgahawa wa kichina, na menu hiyi ilikua ni tambi zilizochanganywa na mbogamboga na kamba.... Yapendeza machoni na hakika ni tamu mdomoni
No comments:
Post a Comment