Tuesday, November 13

Menyu ya Shieni - Kuku Tamu

   Narejea Sinza tena kuendelea kuwajuza menyu mbalimbali zinazopatikana pale. Tumekua tunaonekana kwenye mitandao mengine naongelea facebook tutafute Menu Time na twitter tufuate katika menutimetz, na tumeonesha mara kwa mara hizo menyu zinazopatikana hapo Shieni bar.
   Leo tunawaonesha menyu ingine ambayo Rafiq yetu aitwa George wa Hollevas, aliipa jina la Kuku tamu, kwa sababu tu ya muonekano, ladha na viungo vilivyotumika.
   Huyu kuku tamu anapatikana wa kienyeji na wa kisasa pia, muda wa kumpika ni takribani nusu saa, ambapo waweza kumsindikiza na ugali, chapati, chipsi, ndizi yaani vyovyote upendavyo na uzuri vyote vyapatikana hapo hapo Shieni bar.
   Picha imekivuta chakula kwa karibu zaidi, kama vile uweze ona yaliyomo...

   Karibu Shieni bar, sinza mori, upata aina hii ya menyu ambayo nakuhakikishia utashiba, utaenjoy, utataka kuja tena. Kama wataka kutoa oda mapema kabla hujaja nayo ni rukhsa. tupigie 0715 999 790.

No comments:

Post a Comment