Sunday, November 4

Makande kutoka Moshi

   Imepita muda hatujawasiliana, kidogo team ilikua busy katika shughuli za kujenga Taifa. Tutarejea kuwajuza cha mno ni nini kiasi cha kupelekea ukimya wetu.
   Tukumbuke kwamba mwanatimu mwenzetu wa Menu Time yupo pande za Kilimanjaro, pale Moshi. Na kutoka huku bado anaendelea kutujuza ni menyu gani anakutana nazo.
   Leo akiwa na matembezi na Rafiq yake, walipata menyu hii..... ni makande na mchicha kwa juu.
  
  Hakutujuza upishi wake kama ni tofauti na makande mengi au laa, na sisi tunaamua kulivalia njuga suala hili mpaka tujue upishi wa mlo huu.
  Kutoka MT, tunamwambia mwanatimu mwenzetu Arafa "Aikamai" aliyepo pande za Kilimanjaro,

No comments:

Post a Comment