Wednesday, October 31

Supu supu supu!!!

   Kutoka kwa Rafiq yetu George wa T.bonaz huyu, ameshare nasi supu aliyoipika siku za karibuni, kisha akashare nasi kabla ya kuifanyia justice, ambayo ni kuila. Yeye anasema anajitahidi kufanya diet, yaani kuepuka kula vile vyakula vyenye kuongeza mafuta na unene mwilini.
   Katika kufanikisha azma yake, mlo wa supu ni moja ya menyu ambazo huzipika na kuzila. Ifuatayo ni supu aliyoipika siku za karibuni, karibu
 
   Ndani kuna vipande vya viazi, kuku, vitunguu maji, pilipili hoho na vinginevyo. Tutamtafuta atujuze, ameongezea viungo gani vingine na ni jinsi gani amelipika pishi hili mpaka kuonekana hivyo hapo juu.
   Kwa wale wenye nia kama ya Georeg, yaani ya kutaka kumaintain mwili, basi kaeni mkao wa kula maana soon soon tutaja kuwajuza, je, ni vyakula gani tuviepuke, vipi tuvipe kipaumbele katika msosi, na kuhakikisha miili yetu ipo vyema.
   Kutoka MT, tunamshukuru George wa T.bonaz.

No comments:

Post a Comment