Monday, October 29

Pizzaaaaaaaaa

   Mmoja wa wanatimu wa Menu Time yuko pande za Moshi, kuleee uchagani, mkoa wa Kilimanjaro. Moja ya shughuli anazofanya ni pamoja na kuangalia wapi kuna menyu za hatari na kutupatia ripoti kamili.
   Basi dada Arafa akapita pande za KNCU Cafe, akakutana na menyu hii hapa:
 
   Ni pizza ambayo yaonekana tamu muno. Na kwa ukubwa huo inatosha watu hata wanne wakala na kushiba vyema. Sasa mwaweza kushushia na kinywaji chochote kuanzia Coca cola mpaka hata chai.
  Kutoka Moshi, pande za KNCU Cafe, Arafa wa MT anaarifu.

No comments:

Post a Comment