Monday, October 1

Mchemsho a.k.a soup

   Baada ya kuchoma nyama za kutosha Jumamosi iliyopita pale Postal grounds kwenye Safari Nyama Choma Fastival, huku nyama hizo zikisindikizwa na salad kutoka Menu Time, George wa T.bonaz ameshare nasi mchemsho a.k.a soup aliotengeneza usiku huu leo.


   Kama vile Menyu nyingine hazihitaji maelezo hiviiii, maana zinajieleza hata kwa picha. Tengenezea maelezo yako binafsi kisha tuambie supu hii ina kitu gani humo ndani. Anwani zetu za barua pepe ndo zilezile. Karibu!!!

No comments:

Post a Comment