Sunday, September 30

Menyu ya usiku

   Tumekua kimya kidogo kutokana na sababu zilizokua nje ya uwezo wetu. Ila tupo pamojah sana na tunatayarisha mambo mazuri kwa ajili yenu. Tutembelee kwenye facebook, tafuta Menu Time, na hata kwenye twitter tupo pia.
   Tunaamini Wikiendi inaisha vyema na tupo tayari kuanza wiki nyingine salama kabisa. Poleni kwa wote mliofikwa na baya lolote, tunaamini yote yatapita kwani Siku Hazigandi.
   Leo tunashare nanyi  menyu tuliyokula usiku wa leo tukiwa nyumbani


   Kwa barua pepe, tutumie kupitia menutime@menutimetz.com au info@menutimetz.com, nasi tutakusikiliza.

No comments:

Post a Comment