Saturday, September 15

Picha toka kwa Rafiq

   Da Mage a.k.a Mama Ruge, a.k.a Muke ya Muhaya ameshare nasi picha ya menyu aliyowahi kuipata siku za nyuma. Kwa kawaida tu ni mpishi mzuri sana anayependa kuipikia familia na Rafiqs wa familia yake.


   Yaonekana kama pilau lakini si pilau, mwenyewe Da Mage alisema hivi, waitwa wali mchafu na kujua unapikwaje? unahitaji uwe na viungo vipi kukamilisha pishi hili....., endelea kuangalia na kusoma menutime blog kwani tutakuja kukujuza baada ya kueleweshwa na Mama Ruge
   Kutoka MT team, tunasema Wakola waitu!!

No comments:

Post a Comment