Sunday, September 16

Kifungua Kinywa - Jumapili hii!

   Jumapili leo tunaamkaje???? Tumeanza na nini? Supu, Chai ya maziwa, Juisi, Chai ya rangi, Maji ya moto, Mtori au na nini? Kisha tukasindikizia na nini? Chapati, Andazi, Mkate, Mayai au????? Tujuze tuelewe
Wenzetu toka visiwa vya karafuu naongelea Zanzibar wamefungua vinywa kwa mtindo huu


   Kuna chapati maji a.k.a pancakes, kuna mayai mkorogo a.k.a scramble eggs na sausages ndo mpango mzima, sema wenzetu hawakuonesha wameshushia na kinywaji gani.
    Tujuze unafunguaje kinywa kupitia menutimes@gmail.com
Shukrani kwa wana wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment