Baada ya kuzungumzia vikorombwezo, wengine mekutana nao ambao kikorombwezo chao ni mchanganyiko wa pilipili kichaa na vinegar pamoja na chumvi.Ila niliambiwa badala ya vinegar pia waweza tumia ndimu au limau, mapenzi yako tu wewe na kikorombwezo chako.
Pata uone muonekano wa Rafiq wa Menu Time a.k.a
MT
No comments:
Post a Comment