Hapa ndo upo chomboni tayari kwa kupakuliwa ili uweze kuliwa na walaji toka timu ya MenuTime na marafiq wa Songea
Kwa karibu zaidi ili nawe uweze kufaidi kuona vipande vya nyama vilivyopendeza
Hapa ikiwa tayari imepakuliwa katika bakuli la mmoja wa wanatimu wa Menu Time tayari kwa kuliwa.
Waweza kula mchemsho huu ukichanganya na chapati au andazi yaani wewe tu na mapenzi yako.
Kutoka Songea mjini, LJM wa Menu time naarifu
No comments:
Post a Comment