Saturday, February 25

Kilwa - Pwani

  Baada ya kurejea toka visiwa vya Zanzibar, safari iliyofuata ilikua ni mkoa wa Pwani, naongelea Kilwa. Huku napo kama ilivyo Ikwiriri ni maarufu wa matumizi ya nazi katika utengenezaji wa milo yao.
  Moja ya sehemu nilitembelea nilikaribishwa wali wa nazi, samaki aliyeungwa kwa nazi na kisamvu kilichopikwa kwa nazi.
  Ntaja kuwajuza ni namna gani waweza pika wali ukakolea nazi zaidi ya vile upikavyo, na hii nitajaribu kwanza kwa kufuata maelekezo niliyopewa na mama mpishi kisha nitawaonesha nanyi.
 

Kama wajua namna ya kuikoza nazi katika upishi wa wali tujuze kupitia menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment