Tumalizie kuhusiana na menyu zinazopatikana hapa Foro kisha tuendelee kuwajuza machache yaliyobaki kuhusu Zanzibar.
Meza ni nyingi na wapishi ni wengi, ila wanunuzi sasa ni wengi zaidi kiasi kwamba vinavyopikwa vyote vyauzika vote na kesho wanaanza upyaa.
Nikisema chaguo ni lako yaani waweza changanyikiwa ujue, ila chukua kitu kimojakimoja ili ufaidi kula vingi, hapo kama wataka kula vingi na upo kwa siku moja.
Vinginevyo vinginevyo waweza chagua leo ukala mlo huu na mwingine siku ingine ili uweze kufaidi utamu wa Forodhani
Mpaka hawa nao wanapatikana wamepikwa vyema
No comments:
Post a Comment