Wednesday, September 14

Menyu ya hotelini

Kwa foleni ya Dar unaweza jikuta muda wa menyu we upo barabarani bado, afu sio karibuni unafika destination yako. Sasa ilinikuta hii na kwa jinsi nilivyo na mapenzi ya ukweli na menyu ilibidi tukubaliane na Rafiq mmoja tufanye kusimama ili tupishane na foleni. Eneo ni Court yard hotel ndio makutano yalipofanyika, halafu muda sijawajulia hali hawa ndugu zangu. Kuna menyu ya kila aina, na menyu hii alikula rafiq. Ni prawns a.k.a na salad zimechemshwa kidogo tu na kandimu kwa pembeni


Nilipoguswaaaa haswa ni pale alipoomba hawa viumbe vije vikiwa vimeshatolewa maganda, menyu ikija we waanza kula tu.

No comments:

Post a Comment