Thursday, April 3

Ukaribisho ndani ya Nyumbani Lounge

   Tumepata tiketi za kukukaribisha kupata burudani ndani ya Nyumbani Lounge, iliyopo Dar es salaam, ambapo utapata muziki laini, marafiq wenye Amani pamoja na menu tamu muno. Ni Ijumaa hii ya tarehe 4.
   Tungependa kutoka tiketi hizi kwenu, kwa Rafiqs wawili ambao watashare nasi picha nzuri ya menu waliyoipata.
   Kutakua na suprise siku hiyo kwa hao watakaojishindia.
Dress code ni Kiafrika zaidi...... njoo pendeza na ushiriki nasi. 

  Tutumie picha yako kwa: menutimes@gmail.com, au tuambatanishe kwenye instagram pamoja na facebook.
  Moja ya menu zilizopo Nyumbani lounge ni  viazi vilivyokaangwa na vitunguu swaumu na majani, pamoja na kuku alorostiwa na vitunguu, vikisindikizwa na salad pembeni pamoja na sauce.
   Share nasi picha yako, na ushindi tiketi hiyo, kisha ujumuike nasi hapo kesho.
Twawatakia Alhamisi njema na yenye mafanikio

1 comment: