Mchana wa jana nilipata lunch yangu Hotel ya Leopard iliyoko Moshi mjini kabisa. Kwa ukaribisho wa rafiki yangu Primo, niliweza kupata Pizza ambayo chaguo lake nililiongezea vikorombwezo. Orijino inaitwa "Trilly Extra Chicken and Beef". Niliomba kuongezewa nanasi na extra nyama.
Ukifika Moshi na kama wewe ni mpenzi wa Pizza, na wataka kula Pizza tamu basi pitia hapa Leopard Hotel, wana menu ya maana.
No comments:
Post a Comment