Monday, June 23

Kifungua kinywa

  Karibuni kuanza Juma jipya tukiwa na nguvu tele za kuendeleza gurudumu la maendeleo ya Taifa letu la Tanzania na kwingineko tulipo.
Kwa kuanza siku, twafungua kinywa na Cappuccino kutoka Rhapsody's iliyopo Viva complex pale mjini katikati, kona ya kwenda serena, pembeni ya kituo cha mafuta cha Puma.
 Hawa jamaa wako vizuri kwenye upande wa chakula, vinywaji, musiki, customer service hadi parking japo ya kulipia.
    Fanya ukawaone upate chochote, na bei yao si ghali sans

  Kutoka Kigambonino ilipo Kijiji beach, alipotembelea Rafiq yetu Abdallah wa Gunda, tutaja wajuza menu aliyopata wikiendi iliyopita. Mpaka kesho, mbaki salama!!

No comments:

Post a Comment