Monday, May 28

Mchanganyiko wa Ndizi,Viazi vitamu,Viazi Ulaya, Mihogo na Nyama.

Mlo huu unaweza kuliwa mchana au jioni, ni mzuri kwa familia au hata kama uko peke yako.

Mahitaji
  • Andaa Viazi Ulaya
  • Viazi vitamu
  • Mihogo
  • Ndizi 
 
  • Chemsha nyama yako na iweke Tayari
  • Injika chakula chako motoni, changanya nyama na viazi katika sufuria moja, andaa vitunguu nyanya, hoho na karoti, Kaanga na kisha vitumbukize kwenye sufuria lenye nyama na viazi. Kiache chakula kiive kwa dakika kadhaa.
  • Chakula kikiwa tayari pakua tayari kabisa kwa kuliwa.
Karibu Menu Time, Akhsante kwa kututembelea.

No comments:

Post a Comment