Sunday, May 27

Matoke Samaki

Basi leo katika pitapita zetu huku na kule mara tukaingia kwa Rafiq yetu  aitwaye Adilu, Jamaa akatuuliza, "ati, ninyi si ndo Timu ya Menu Time.?" Tukakubali na baada ya hapo, akatubariki na Matoke Samaki.

 Ukitazama vema hapo utaona maharagwe ndizi na samaki yamepikwa pamoja. Ilikuwa Menu tamu sana yaani, Usikose kututembelea Kesho Tena.

No comments:

Post a Comment