Saturday, May 26

Sushi kutoka Toronto

Umewahi kutafakari ukifika sehemu kama Toronto utakula nini? Hiki ni Chakula aina ya Sushi Kinapatikana Hapo katika Jiji hilo.
Hii Picha ni kwa hisani ya Mdau wa Menu Time Toronto, Tutumie picha yako pia menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment