Saturday, May 26

Safari Lager Nyama Choma Festival Arusha

Kama upo A. City a.k.a Arusha Hii sio ya kukosa, tarehe 2 June 2012 kuanzia saa sita mchana mpaka saa nne usiku, kwa uchakavu wa shilingi za kitanzania elfu tano tu. Ni pale katika Viwanja vya Matongee, si mnaijua Shughuli ya Safari Lager basi wahi mapemaaa wadau 200 wa kwanza watajipatia Safari Lager moja Bureeeeeeee.
Team ya Menu Time itakuwepo tegemea kupata matukio yote kupitia hapa asante kwa kututembelea.

No comments:

Post a Comment