Friday, May 25

Viazi na Samaki

Ni mlo mzuri unaoweza kula na mtoto mdogo au wewe mwenyewe.
Mahitaji,
  • Viazi ulaya,
  • Samaki,
  •  Nyanya, Kitunguu, Hoho, na Nyanya Chungu.
Weka viungo vyako katika hali ya kupikwa.

  • Injika kikaango, weka mafuta na uanze kukaanga viungo vya awali kama kitunguu na hoho. Kisha weka mchanganyiko wa nyaya na nyanya chungu.
  •  Baada ya nyanya, hoho na nyanya chungu kuiva weka katika sufuria lenye samaki.
  • Kisha viweke viazi vyako katika sufuria lenye samaki.

                         
  • Baada ya mchanganyiko wako kuiva utaipua na kuupakua katika sahani tayari kwa kuliwa.
Karibu sana Menu Time tutumie maoni yako.

No comments:

Post a Comment