Thursday, May 24

Sokoni Mchanganyiko

Hivi ni baadhi ya vipande ambavyo utakutana navyo katika soko dogo la Makumbusho, karibu tembea nami kwa picha, kisha niambie wewe unaonaje au una maoni gani kuhusiana na vipande hivi vya samaki. Hawa ni samaki aina ya Sangara

Nimekutana pia na Prawns wadogo wadogo fungu moja shilingi 500 ya kitanzania, karibu waone hapa

Basi pale sikutoka hivi hivi bila picha ya Nyanya, Vitunguu, Nyanya Chungu, Bamia na viungo vingine kama picha inavoonekana hapo


  Mjasiliamali mwingine anajaribu kusogeza huduma ya viazi karibu...... ni kazi nzuri

Karibu Menu Time. Waweza kutupata kupitia mitandao hii, www.twitter.com/menutimetz na 

No comments:

Post a Comment