Thursday, May 24

Mihogo ya Kukaanga

Mihogo au viazi humenywa na kuoshwa kisha huwekwa katika kikaango chenye mafuta ambayo yameishachemka tiari.

Baada ya kuwekwa kwenye kikaango chenye mafuta yalochemkwa mihogo hufunikwa na kusubiri iive

Mihogo itakuwa tayari kwa kuliwa baada ya dakika chache tu za kukaangwa
 

Mteja hapa kashanunua na kachumbari imewekwa tayari, na menu yetu iko tayari kwa kuliwa kama kifungua kinywa

No comments:

Post a Comment