Wednesday, May 7

Sea food na wali

   Siku ya tatu ya wiki, ambapo mpango ni kula vyema katika kuijenga afya yetu.
Leo twala wali, sea food na mbogamboga.
  Kama issues ni kupika basi waweza ingia mgahawani na upate mlo salama kwa afya yako.
    Kumbuka kuwa mpaka leo hatujagusa nyama nyekundu, tuko na kuku na sea food. Tuendelee kula vya afya njema

No comments:

Post a Comment