Tuesday, May 6

Menu ya kihotelini

 Tuendelee kula kiafya zaidi hata kama menu hiyo tutaipata migahawani, mahotelini n.k. Kwasababu chaguo la chakula ni juu yetu, basi tuagize mlo salama kwa afya zetu na kwa wingi ututoshao.
  Juu ya sahani yetu kuna viepe kidogo, kipande cha samaki, salad, kipande cha ndimu na kama ukishindwa waweza agiza mayonnaise pembeni ya kukusindikizia.
  Karibu katika wiki ya kula vyema, na tuwe pamoja

No comments:

Post a Comment