Thursday, May 8

Sea food na viazi

   Jana tuliangalia seafood na wali, katika kukamilisha ule mlo wa kuweka mwili sahihi, yaani kula proper kama wasemavyo wenye lugha yao.
 Sasa leo tunaangalia kamba a.k.a prawns wakiwa na viazi katika mitindo miwili, viazi vilivyopondwa pamoja na viazi vilivyokaangwa a.k.a chips

     

    Karibu kushare nasi menu zako ambazo huzitengeneza au huzila pale ambapo wataka weka mwili vyema. Tutumie kupitia na menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment