Friday, June 7

Wikiendi na Nyama choma

   Tunaelekea kunako mwisho wa wiki, yaani wikiendi na hapo tunajua muda wa mapumziko umefika kwa walioajiriwa, wale wa Jumatatu hadi Ijumaa. Pia hata kwa wanafunzi, baadhi ya wafanyabiashara n.k. Ila ndo siku za kutengeneza hela kwenye baadhi ya sehemu mbalimbali naongelea mahotelini, migahawani, madukani, n.k pale ambapo watu inabidi waende wakati wa wikiendii wapatapo muda, tofauti na siku za Juma za kazi.
   Kukusindikiza vyema kwenye wikiend, tunashare nawe mishkaki, maana kwa wale wapenda kwenda sehemu mbalimbali nje ya makwao, hula sana.

    Tunakutakia wikiendi njema Rafiq.

No comments:

Post a Comment