Monday, June 10

Menu kutoka U.S.A

   Kutoka kwa Rafiq aliyopo U.S.A a.k.a kwa Obama, ameshare nasi moja ya menu aliyopata wikiendi hiyo iliyopita.
   Kuna mayai, beef nyama na viazi vilivyokwaruzwa kama sio kukatwa katwa vijipande vyembamba na vidogo.
   Karibuni kushare nasi kile mnachopata mkiwa sehemu tofauti tofauti

No comments:

Post a Comment