Tuesday, June 11

Chakula cha Usiku kwa bi Lulu

     Jana usiku, Bi lulu a.k.a LJM alijipikilisha chakula cha usiku. Walipokutana Nyama choma na Dj Choka pamoja na blogger wa Kajunason, alihadithiwa kuhusiana na kuku maziwa, yaani kuku alopikwa na mchuzi wenye ladha ya na maziwa.
    Jana usiku akajaribisha, sababu amepewa task ya kuwapikia hawa mabwana na familia zao very soon. Na hapo chini ndo ushahidi wa menu yake

   Tutapata kumhoji namna ya upishi huu ilivyofanywa ili tuweze kushare nanyi, kwa wale Rafiqs ambao mtapenda kujaribu kuipika menu hii.
   Asante sana kwa kushare nasi menu hii.

No comments:

Post a Comment