Thursday, June 6

Chiken shawarma in Dar

   Rafiq tunaupitishaje mchana wa leo?? Sisi tulikatiza pande za Golden fork zilizo barbara ya bagamoyo, kama watoka town, iko pande ya kushoto, nyuma kidogo ya Simba kapakatwa.
   Ukiondoa aina nyingi za menu zilizopo sisi tulivutiwa zaidi na chiken shawarma



   Ukipata muda, pita pande hizo na ujaribu menu zao. Bei ni nzuri kabisa inawezekanika a.k.a affordable.
   Tujuze mchana huu wapata menu gani?

No comments:

Post a Comment