Thursday, June 13

Bado kwa Mama Bonge

   Bado tupo mitaa ya Kinondoni kwa mama Bonge, na menu ya leo ni hiyo hapo chini, nayo ni yale yale ya mboga tatu, ikiwa na mchanganyiko wa ndizi nyama. Chezeya mama Bonge weyeeee

   Kuna wali, mchicha, maharagwe, ndizi nyama, mchuzi yaani vyote ndani ya sahani moja kwa bei ile ile ya pesa za kitanzania 3,000/- tu.

No comments:

Post a Comment