Friday, June 14

Wikiendi na T.Bonaz meat.

   Tunapokaribia wikiendi tunajitayarisha na nyama choma na hapa tunakutana na wataalamu wa kuchoma nyama wajulikanao kama T.bonaz. Unamkuta bwana George wa Lulabuka na hapa chini ni baadhi ya nyama walizochoma siku ya Jumamosi iliyopita katika tamasha la Nyama choma festival lililofanyika viwanja vya Postal ground
   Kulikuwa na kuku pale kati

   Yaani kuku choma na nyama ya ng'ombe ile t.bone stake

   Kwa mbali zaidi ili upate picha tamu, kwa pembeni unaona ndizi zileee, tamuje sasa?

    Hizo ndo t.bones toka kwa T.bonaz asee, tamuje sasa???  

   Mpigie simu namba +255 718 609 944 bwana George Lulabuka. Sema nae ana mengi ya kukupatia ikiwemo slow rosted duck, yaani bata anayechomwa/ anayepikwa kwa utaratibu wa hali ya juu. Sema nao T.bonaz leo.
   Kutoka Menu Times, tunawatakia wikiendi njema sana na salama kwenu!!

No comments:

Post a Comment