Friday, April 12

Tunaendelea na yale ya Toto day 23.03.2013

   Mambo yaliendelea kuwa matamu, mazuri na yenye raha.!!!
Kwa maelezo zaidi, angalia picha zifuatazo....
   LJM wa Menu time akiwa anamshawishi bwana mchina waende kucheza kwenye jumping castle

  
  Walikubaliana kukiwa na conditions za kutosha, moja wapo ni kwamba, wapande wote na pia apate ushahidi wa picha.... mwisho wa siku walielewana

    Kama ulipata kusikia tangazo la Toto day, lilifanyika studio kwa bwana Masawe, na alilifanya bila gharama yeyote ile, na mwisho wa siku alikuja na watoto wa kutosha. Asante sana bro!!

   Connecting with kids, ndo ilikua mpango mzima siku hiyo, maana si ndo siku yao.. Toto ndani ya mikono ya dada.

   Team membaz wa K.A.B.L.E wakiwa na Rafiq.... japo tumekuja kucheza na totos haimaanisha hatuwezi kupata muda wa kupiga picha zenye pozi kama hizi!!!
  
    Rafiqs toka pande mbalimbali walikuwepo kuhakikisha siku ya Toto day inafanikiwa, na kwa umoja na upendo wao kweli tulifanikisha kwa pamojah, na all we can say is "Asanteni"

    Sharing is caring, Toto day imedhihirisha usemi huo, Asanteni Jonathan  na Doris Koshuma kwa kuleta familia nzima.

  Hakika akinena jambo na Mercy, ambaye alituletea shikirimu a.k.a ice cream kwa watoto.... Asante Mercy kwa kuwa pamojah nasi siku zote.

   "Change inaanza na MiMi" toto tshirt bado zipo kwa silingi 15,000/- tu, pata kuwasiliana nasi kupitia 0784 999 790 ili mwanao nae apate ya kwake. Cha kufanya ni kuchagua rangi na miaka kisha tunakuletea 

   Picha zinazofuata tutaona yaliyobakia siku hiyo ya Toto day iliyofanyika siku ya Jumamosi, tarehe 23.03.2013 pale Mbalamwezi Beach Club!!

No comments:

Post a Comment