Wednesday, March 6

Toto Day - Tarehe 23.03.2013

    K.A.B.L.E pamoja na Menu time wakiwa na watoto wa Malaika Orphanage Foundation wanawaletea Toto day ambapo wanawaalika watoto wote kuja kushinda nao siku ya Jumamosi ya tarehe 23 ya mwezi huu wa machi. Eneo la Mikocheni pale Mbalamwezi beach kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 10 jioni
    Kuna mengi yatakuwepo siku hiyo, ila leo tunakujuza eneo, siku na muda. Kila siku tutakuhabarisha mengine yatakayojiri.


    Shukran sana kwa wadhamini wetu  Mbalamwezi Beach.

No comments:

Post a Comment