Wednesday, March 6

Menu za Mama Ruge

   Ni Jumatano, na tunaendelea kukuonesha menu mbalimbali anazopika, anazokula, anazozipata katika migahawa mbalimbali mama Ruge.
   Kipindi ambacho nilikaa baada ya kualikwa kwake, nilifanikiwa kula  menu mbalimbali na kitamu zaidi au niseme nlichopenda zaidi ilikua ni pilau. Sijui aliipikaje ila laaah ilikua tamu. Hapa ni moja ya picha tunazoshare kutoka kwake, na hii ni pilau.


    Endelea kuangalia menutime kila siku, kuona mahanjumati ya muke wa Victor anavyosababisha. Kama una swali kwake, maoni au mengineyo basi weka comments zako naye ataona.
   Tuendelee kesho kuona yanayojiri!!

3 comments:

  1. huyu muke ya muhaya naomba kumuona.huyu mama namkubali sana.

    ReplyDelete
  2. Tupatie mawasiliano yako, ili tumfkishie naye afanye uamuzi wa kuonana na wewe Rafiq.

    ReplyDelete
  3. Tupatie mawasiliano yako, ili tumfkishie naye afanye uamuzi wa kuonana na wewe Rafiq.

    ReplyDelete