Friday, March 8

Toto day - 23.03.2013

   Khabari zinazidi kuwa njema sana na sana. Mwenyezi Mungu anaendelea kutubarika kwa kutupatia wadhamini kutoka makampuni mbalimbali
   Waandaaji ni hawa:  K.A.B.L.E na Menu time


   Halafu mmoja wa wadhamini wetu wakuu ni Mbalamwezi beach

  Wadhamini wengine  wapo na tutakuja kuwajuza zaidi ni kina nani siku zijazo.
 Jipange kumleta mwanao aje kuwa sababu ya mabadiliko katika maisha ya watoto wa Malaika Orphanage Foundation.

No comments:

Post a Comment