Friday, March 8

Siku ya Wanawake Duniani 08.03.2013

   Menu time inaungana na Rafiqs wengine duniani kote katika kusherekea na kuienzi siku ya Wanawake duniani ambayo ni leo. Ujumbe wetu kwa wanawake wote ni kwamba, Tunawapenda, tunawathmini, tunawashukuru na kuwajali. Daima stay strong, beautiful & Blessed. Menu Time we care!!

      
      Happy women's day to all Women out there!!!!

No comments:

Post a Comment