Monday, March 25

Mapishi ya Wikiendi

  Kama kawaida yaJumapili, LJM akaamua kuingia jikoni na kupika chochote atakachokutana nacho kwenye jokofu na jikoni.
   Jumapili akaamua kupika macaroni na nyama iliyokatwa vipande vidogo vidogo, vilivyochanganywa na karoti na njegere. Tutakuja kuwaelezea namna ya kupika chakula hiki huko mbeleni, ila kwa sasa karibu kuona jinsi menu ilivyotokea.

   Tunawatakia wiki njema

No comments:

Post a Comment