Monday, March 4

Kifungua kinywa - toka kwa Rafiq

   MegVictor Mash ndo jina analojulikana nalo kitaani, pia ajulikana kwa jina la Mage, waweza tumia muke ya muhaya, Mrs. Mashobe na mama Ruge, ndo ambae kwa wiki hii tutaona menu zake mbalimbali.
   Tunaanza na menyu ya asubuhi yaani kifungua kinywa alichokipata siku za nyuma na kuamua kushare ushahidi kwa kututumia picha kama inavyoonekana hapo chini


   Kuna yai, salad kidogo, sausage pamoja na bacons.... ni chakula chepesi ila naamini kinashibisha vya kutosha. 
   Endelea kufuatilia blog hii kuona menu zake katika wiki hii!!
Menu Time yasema Aikamai!!!!

2 comments:

  1. aika mae.hahaha.ili ikamilike na glass of juice pembeni itahusu.thnx menutime.

    ReplyDelete
  2. Karibu sana Rafiq, glasi ya juisi unahusu sanaaaaa

    ReplyDelete