Wednesday, February 27

La Grille ndani ya Nyama Choma Festival

   Jina la biashara ni La Grille. Menu Time ina maswali machache kwako wewe Rafiq .... Je, umewahi kula menu yao??? Je, umewahi kupiga nao stori moja, mbili, tatu? Je, unawajua ni kina nani???

    Huu ndio ujumbe wao: "La Grille - Everything Meaty" wanasema watakuwepo Jumamosi hii pale Kijitonyama grounds kwenye Nyama Choma festival kukuletea wewe menu uzipendazo. 
    Kwa menu za nyama ya mbuzi, kuku choma , juicy mishkakiz ambavyo vyote vitasindikizwa na amazing homemade sauces and chilly utazipata kwao, hivyo basi fika kwenye banda lao a.k.a maskani ukitua pale Kijitonyama grounds!!.

No comments:

Post a Comment