Wednesday, February 27

Khabari ya Jumamosi ya Mujini

    Wamerejea tena kwa mwaka huu wa 2013, nawaongelea wale wakali wa kutengeneza tamasha la ulaji wa nyama Tanzania. Wanaitwa Nyama Choma Festival team. Siku zilizobaki ni chache sana yaani ni Jumamosi hii inayokuja... ya tarehe 2 ya mwezi wa 3, mwaka 2013, pale maeneo ya Kijitonyama uwanja wa nyumbani.

 

   Kiingilio ni shilingi za kitanzania 7,000/= tu unaacha pale getini, unaingia kupata kitu moyo na mdomo unataka. Karibuni sana nyote!!!

No comments:

Post a Comment