Friday, February 22

Kutoka Arusha a.k.a A town

   Mmoja wa wanafamiia, partner na brother wa Menu Time amepata kuhamia pande za A town akitokea mwisho wa reli yaani Kigoma. Tunamtakia kila la kheri na tunaamini kwamba bado tutapata khabari mbali mbali za menu kutoka Kigoma the land of cream and butter, ambapo kuna kina G Minja, Robert Kagame, Nesta, Frank na wengine wengi mno ambao nao ni Rafiqs na wanafamilia wa Menu Time.
    Akiwa pande za A town baba Ruge a.k.a Victor a.k.a Shobez ametutumia picha ya menu hii aliyoipata pale Nickys. Kiukweli kabisa nimepamiss mno pale Nickys, maana pana kumbukumbu tamuuuu yaani mara ya kwanza LJM kwenda Arusha, nlipelekwa pale nkapata kahawa taaaamu wakati Rafiqs wanashusha vimiminika vya hatari. 
   Picha ni hii
   
Kitu cha samaki..... ndo alichokula bwana Victor mtoto wa Mashobe, baba yake Ruge. Asee chalii ya R, Asante sana ndo tunasema wana Menu Time!! Good luck and tunategemea more photos ambazo utashare nasi from A town.

4 comments:

  1. wow.hata mimi nikienda A town aisee chalii ya R itabidi anipeleke!

    ReplyDelete
  2. Thank you menu time.mkija ntawapeleka

    ReplyDelete
  3. Sema nae vyema chalii ya R, ni aluwatani mjini pale na ndo maana ni partner wa menu time

    ReplyDelete