Monday, February 25

Kifungua kinywa toka UK a.k.a kwa Malkia

   Kutoka kwa mdau wetu ambae pia ni Rafiq wetu wa Menu Time, tumepokea picha toka kwake na anaitwa bi Ney Francis ambaye ametayarisha kifungua kinywa siku za wikiendi iliyoisha huko UK anapoishi.
   Hapo kuna sausages, maharagwe na pancakes ambavyo alishushia na maji ya matunda,


  Alisema waweza kushushia na kimiminika chochote ni wewe tu na uamuzi wako. 
Wana Menu Time tunasema Asante sana Ney kwa kushare nasi kifungua kinywa chako.
   Iwapo nawe wataka kushare nasi basi tuma barua pepe kupitia menutimes@gmail.com au menutimetz@gmail.com.
   Tunawatakieni wiki njema yenye mafanikio.

No comments:

Post a Comment