Tuesday, February 26

Kifunga kinywa toka USA a.k.a Kwa Obama

   Peter ambae ni mdau, Rafiq, mshauri na kaka wa Menu Time anaendelea kushare nasi menu mbalimbali anazozipata pande za USA. Hapa ameshare nasi menu aliyokula muda wa usiku kama kifunga kinywa, ila amesema kinawezekana pia kuliwa muda wa asubuhi kama kifungua kinywa. Menu hii aliipata siku za wikiendi pande zile alipo bwana Obama.
   Kwenye plate kuna Mikate iliyookwa, nyama ndani ya yai na harsh browns.


    Ni mlo wa mtu mmoja na unaweza shushia na kimiminika chochote kile upendacho wewe kutokana na mapenzi yako.
  Karibu kushare nasi menu unazozipata, na pia utaje sehemu unazopatia hicho chakula. Menu Time inasema Peter, Asante sana partner!!

No comments:

Post a Comment