Kadri maisha yanavobadilika watu nao pia hubadilika, baada ya viazi vilivokaangwa a.k.a Chips kulalamikiwa kuwa na kiwango kikubwa cha mafuta wajuzi wa Menu wakasema isiwe taabu, viazi hivi hivi tunaweza kuviunga pamoja na nyama na vikaleta ladha nzuri kuliko hata ile ya Chips kavu. MT kwa mapenzi mema tumekileta kwenu kile wajuzi wa Menu walichokuwa wanakimaanisha.
No comments:
Post a Comment