Thursday, August 16

Prawns salad a.k.a Menu Time salad

   Mara ya kwanza Menu Time inasimama kutengeneza salad kwa sababu ya biashara, tulianza na salad hii, na papo hapo baadhi ya wanatimu wa Menu Time pamoja na washabiki wakaamua kuiita "Menu Time salad"
   Humo ndani kuna kamba a.k.a Prawns, viazi, karoti, njegere, chumvi na mayonnaise. Pata picha ikiwa ndani ya chombo tayari kwa kupakuliwa
  
   Ni rahisi kutengeneza, na ni tamu kwa kuila. Iwapo ungependa tuitengeneza kisha tukuletee hapo ulipo basi wasiliana nasi iwe kwa email au kwa simu zetu.
   Karibuni sana!!
  

No comments:

Post a Comment