Saturday, July 7

Supu ya Ng'ombe.

"Supu ya ng'ombe na chapati mbili"... hilo ndo lilikuwa neno langu la kwanza kulitamka baada ya kukaa kwenye kiti cha Cafe Moja hapo Magomeni Mikumi. Cafe hii yaitwa MAJISSUYY L'a Cafe, imepakana kabisa na kituo cha daladala cha mikumi.
 Supu yao ilikuwa Taamu kwa kweli ukipaata muda pitia pale uagize supu yako afu utujuze.

No comments:

Post a Comment